1Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu!
Enyi watu wote mhimidini!
2Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu;
uaminifu wake Mwenyezi-Mungu wadumu milele!
Msifuni Mwenyezi-Mungu!
The chat will start when you send the first message.