Mwanzo 36

Mwanzo 36

Wazao wa Esau

(1Nya 1:34‑42)

1Hivi ndivyo vizazi vya Esau (yaani Edomu).

2Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi;

3pia akaoa Basemathi binti Ishmaeli, dada yake Nebayothi.

4Ada akamzalia Esau Elifazi; Basemathi akamzaa Reueli;

5Oholibama akawazaa Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wana wa Esau waliozaliwa kwake huko Kanaani.

6Esau akawachukua wake zake, watoto wake wa kiume na wa kike, na watu wote wa nyumbani mwake, mifugo yake pamoja na wanyama wake wengine wote, na mali yake yote ambayo alikuwa ameipata akiwa Kanaani, akahamia katika nchi iliyo mbali na Yakobo ndugu yake.

7Mali yao ilikuwa nyingi sana kiasi kwamba haikuwa rahisi wao kuishi pamoja; nchi waliyokuwa wakiishi isingewatosha wote kwa ajili ya mifugo yao.

8Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya vilima ya Seiri.

10Haya ndiyo majina ya wana wa Esau:

11Wana wa Elifazi ni:

13Wana wa Reueli ni:

14Wana wa Oholibama binti Ana, mkewe Esau, aliyekuwa mjukuu wa Sibeoni, aliomzalia Esau ni:

Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni:

17Wakuu wa wana wa Reueli, mwana wa Esau ni:

18Wakuu wa wana wa Esau ambao mkewe Oholibama alimzalia ni:

20Hawa walikuwa wana wa Seiri Mhori, walioishi katika nchi ile:

22Wana wa Lotani walikuwa:

23Wana wa Shobali walikuwa:

24Wana wa Sibeoni walikuwa:

25Watoto wa Ana walikuwa:

26Wana wa Dishoni walikuwa:

27Wana wa Eseri walikuwa:

28Wana wa Dishani walikuwa:

29Hawa walikuwa wakuu wa Wahori:

Watawala wa Edomu

(1Nya 1:43‑54)

32Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba.

33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake.

34Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake.

35Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.

36Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake.

37Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake.

38Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.

39Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.

Timna, Alva, Yethethi,

41Oholibama, Ela, Pinoni,

42Kenazi, Temani, Mibsari,

43Magdieli na Iramu.

Neno: Biblia Takatifu™ Neno™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015, 2025 na Biblica, Inc. Imetumiwa kwa ruhusa. Haki zote zimehifadhiwa duniani kote. Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015, 2025 by Biblica, Inc. Used with permission. All rights reserved worldwide.
Published by: Biblica, Inc.