2 Nyakati 6

2 Nyakati 6

Kuweka Hekalu wakfu

(1Fal 8:12‑21)

1Ndipo Sulemani akasema, “Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene.

2Nimejenga Hekalu zuri kwa ajili yako, mahali pako pa kukaa milele.”

3Kusanyiko lote la Israeli walipokuwa wamesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki.

4Kisha akasema:

Maombi ya Sulemani ya kuweka wakfu

(1Fal 8:22‑53)

12Kisha Sulemani akasimama mbele ya madhabahu ya Bwana machoni pa kusanyiko lote la Israeli, naye akanyoosha mikono yake.

13Basi Sulemani alikuwa ametengeneza jukwaa la shaba, urefu wake dhiraa tano, na upana wake dhiraa tano na kimo chake dhiraa tatu, naye akaliweka katikati ya ukumbi wa nje. Akapanda juu ya hilo jukwaa kisha akapiga magoti mbele ya kusanyiko lote la Israeli, akanyoosha mikono yake kwelekea mbinguni.

14Akasema:

Neno: Biblia Takatifu™ Neno™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015, 2025 na Biblica, Inc. Imetumiwa kwa ruhusa. Haki zote zimehifadhiwa duniani kote. Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015, 2025 by Biblica, Inc. Used with permission. All rights reserved worldwide.
Published by: Biblica, Inc.