Zaburi 117

Zaburi 117

Kumsifu Mungu

1Enyi mataifa yote, msifuni Mwenyezi-Mungu![#Taz Rom 15:11]

Enyi watu wote mhimidini!

2Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu;

uaminifu wake Mwenyezi-Mungu wadumu milele!

Msifuni Mwenyezi-Mungu!

Swahili Common Language DC Bible: Biblia Habari Njema kwa Watu Wote (Yenye Vitabu vya Deuterokanoni): Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa (BHN): Hakimiliki © Chama cha Biblia cha Tanzania na Chama cha Biblia cha Kenya, 1995, 2001. Haki zote zimehifadhiwa.  
Published by: Bible Society of Tanzania