Yoshua 12

Yoshua 12

Orodha ya wafalme walioshindwa

2Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala huko Heshboni.

4Nayo nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, aliyekuwa mmoja wa mabaki ya Warefai, aliyetawala Ashtarothi na Edrei.

7Hawa ndio wafalme ambao Yoshua na Waisraeli waliwashinda upande wa magharibi mwa Yordani, kuanzia Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni hadi kufikia Mlima Halaki, unaoinuka ukielekea Seiri. Yoshua alitoa nchi zao kwa makabila ya Israeli iwe urithi wao sawasawa na mgawanyiko wa makabila yao.

8Nchi hizi ni: nchi ya vilima, Shefela, Araba, miteremko ya milima, jangwa, na Negebu; yaani nchi za Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.[#12:8 au upande wa magharibi chini ya vilima]

9mfalme wa Yeriko;

mfalme wa Ai (karibu na Betheli);

10mfalme wa Yerusalemu;

mfalme wa Hebroni;

11mfalme wa Yarmuthi;

mfalme wa Lakishi;

12mfalme wa Egloni;

mfalme wa Gezeri;

13mfalme wa Debiri;

mfalme wa Gederi;

14mfalme wa Horma;

mfalme wa Aradi;

15mfalme wa Libna;

mfalme wa Adulamu;

16mfalme wa Makeda;

mfalme wa Betheli;

17mfalme wa Tapua;

mfalme wa Heferi;

18mfalme wa Afeki;

mfalme wa Lasharoni;

19mfalme wa Madoni;

mfalme wa Hazori;

20mfalme wa Shimron-Meroni;

mfalme wa Akshafu;

21mfalme wa Taanaki;

mfalme wa Megido;

22mfalme wa Kedeshi;

mfalme wa Yokneamu katika Karmeli;

23mfalme wa Dori (katika Nafoth-Dori);

mfalme wa Goimu katika Gilgali;

24mfalme wa Tirsa;

Neno: Biblia Takatifu™ Neno™ Hakimiliki © 1984, 1989, 2009, 2015, 2025 na Biblica, Inc. Imetumiwa kwa ruhusa. Haki zote zimehifadhiwa duniani kote. Kiswahili Contemporary Version™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015, 2025 by Biblica, Inc. Used with permission. All rights reserved worldwide.
Published by: Biblica, Inc.