The chat will start when you send the first message.
Meshelemia mwana wa Kore, mmoja wa wana wa Asafu.
2Meshelemia alikuwa na wana wafuatao:
4Obed-Edomu naye alikuwa na wana wafuatao:
6Shemaya mwanawe Obed-Edomu pia alikuwa na wana waliokuwa viongozi katika jamaa ya baba yao, kwa sababu walikuwa watu wenye uwezo mkubwa.
7Wana wa Shemaya ni:
10Hosa, Mmerari, alikuwa na wana wafuatao:
14Kura ya Lango la Mashariki ilimwangukia Shelemia.[#26:14 au Meshelemia]
Kisha wakapiga kura kwa Zekaria mwanawe Shelemia, aliyekuwa mshauri mwenye hekima, nayo kura ya Lango la Kaskazini ikamwangukia.
15Kura ya Lango la Kusini ikamwangukia Obed-Edomu, nayo kura ya maghala ikawaangukia wanawe.
16Kura za Lango la Magharibi na Lango la Shalekethi kwenye barabara ya juu zikawaangukia Shupimu na Hosa.
17Kulikuwa na Walawi sita kila siku upande wa mashariki,
wanne upande wa kaskazini,
wanne upande wa kusini,
na wawili wawili kwa mara moja kwenye ghala.
18Kuhusu ukumbi kuelekea magharibi, kulikuwa na wanne barabarani na wawili kwenye ukumbi wenyewe.
20Katika Walawi, Ahiya alikuwa mwangalizi wa hazina za nyumba ya Mungu na mwangalizi wa hazina za vitu vilivyowekwa wakfu.
21Wazao wa Ladani, waliokuwa Wagershoni kupitia Ladani na waliokuwa viongozi wa jamaa za Ladani Mgershoni, walikuwa Yehieli,
22wana wa Yehieli, wana wa Zethamu na wa nduguye Yoeli. Wao walikuwa waangalizi wa hazina za Hekalu la Bwana .