The chat will start when you send the first message.
1Baada ya Daudi kuingia rasmi katika jumba lake la kifalme, akamwambia nabii Nathani, “Hebu tazama, mimi ninakaa kwenye nyumba nzuri iliyojengwa kwa mwerezi, wakati Sanduku la Agano la Bwana liko ndani ya hema.”
2Nathani akamjibu Daudi, “Lolote ulilo nalo moyoni mwako litende, kwa maana Mungu yu pamoja nawe.”
3Usiku ule neno la Mungu likamjia Nathani, kusema:
15Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya.
16Ndipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za Bwana , akasema: